Daktari wa dawa

Daktari wa dawa (pia: "mfamasia") ni daktari wa kitaaluma au shahada ya kwanza aliyesomea mambo ya dawa.

Willem Einthoven .daktari wa dawa katika nchi ya Uhoranzi

Madaktari hawa hufanya kazi ya kugawa dawa sahihi kwa wagonjwa kutokana na ugonjwa ambao wanaumwa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daktari wa dawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.