DeviantArt

DeviantArt ni jumuiya ya sanaa mtandaoni.

DeviantArt

Makao makuu yako Hollywood huko mjini Los Angeles, California.[1] Mnamo mwaka wa 2008, DeviantArt ilikuwa na wageni milioni 36.[2] Mnamo mwaka wa 2010, DeviantArt ilikuwa na wapendwa milioni 1.4 na maoni milioni 1.5. Mnamo mwaka wa 2011, DeviantArt ilikuwa mtandao wa kijamii wa kumi na tatu kwa ukubwa.[3] Mnamo mwaka wa 2017, DeviantArt ilikuwa na wanachama zaidi ya milioni 25 na faili zaidi ya milioni 250.[4]

Marejeo

Viungo vya Nje