Femtomita
Femtomita (ing. femtometer, alama fm[1][2][3]) ni kipimo cha SI cha kutaja urefo mdogo wa 10−15 mita.
Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya atomi na chembe zake.
Kipenyo cha protoni ni takiban femtomita 1.7[4]. Kipenyo cha kiini cha atomi cha dhahabu ni takriban femtomita 8.45.
Neno latokana na lugha ya (Kidenmark: femten (kumi na tano). Umbali huu unaweza pia kuitwa fermi kwa heshima ya mwanafizikia Enrico Fermi.
Ulinganifu
femtomita 1 = 1.0 x 10−15 mita = 1 fermi = 0.001 pikomita = 1000 attomita
Marejeo
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz