GMA Network
Kampuni ya media ya Ufilipino
GMA Network, Inc. au GMA, ni kampuni ya media ya Ufilipino yenye makao yake makuu katika Jiji la Quezon. Ilianzishwa mnamo 1950 na Robert La Rue Stewart.
Kampuni hiyo inaendesha vituo kadhaa vya redio na televisheni nchini Ufilipino, vikiwemo GMA-7, GTV-27, Super Radyo DZBB 594 na Barangay LS 97.1.
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu GMA Network kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz