Guadalquivir

Guadalquivir ni mto nchini Hispania na mto mkubwa wa Andalusia.

Mto Guadalquivir umepita katika mji wa Sevilla
Guadalquivir
Mto Guadalquivir mjini Cordoba
ChanzoCañada de las Fuentes
MdomoBahari ya Atlantiki
NchiHispania
Urefu657 km
Kimo cha chanzo1,400 m
Tawimito upande wa kuliaGenil, Gudaira
Mkondo164.3 m³/s
Eneo la beseni56,978 km²
Miji mikubwa kando lakeCordoba, Sevilla

Jina limetokana na lugha ya Kiarabu "Wadi al-Kabir (الوادي الكبير)" yaani "mto mkubwa".

Chanzo kipo katika milima ya Sierra de Cazorla halafu mto unapita miji ya Córdoba na Sevilla ukiishia katika ghuba ya Cadiz kwenye Atlantiki.

Guadalquivir ni mto pekee wa Hispania unaopitika kwa meli za bahari wanaofika hadi Sevilla.

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guadalquivir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.