Gundi

Gundi (kwa Kiingereza: Adhesive, glue, cement, mucilage au paste[1]) ni majimaji mazito yanayoweza kutokana na miti n.k. ambayo hutumika katika kugandisha au kuunganishia vitu mbalimbali, kwa mfano karatasi.

Gundi ikitoka katika chupa.

Tanbihi