Hifadhi ya Taifa ya Dinder

Hifadhi ya Taifa ya Dinder ni mbuga ya taifa na hifadhi ya viumbe hai iliyopo mashariki mwa Sudani, na imeunganishwa na Mbuga ya taifa ya Alitash ya Ethiopia. [1]

Mipaka ya Hifadhi ya Taifa ya Dinder.
Mipaka ya Hifadhi ya Taifa ya Dinder.

Mahali

Dinder iko takribani kilomita 400 kusini mashariki mwa Khartoum, upande wa pili wa Mto Dinder unaopakana na Mto Rahad kuelekea kaskazini. [2]

Mji wa Dinder upo kilomita 100 kaskazini magharibi hutumika kama lango la watalii wanaotaka kuingia kwenye hifadhi. [3]

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Dinder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.