Kai Havertz
mchezaji wa mpira kutoka ujerumani
Kai Havertz (alizaliwa 11 Juni 1999) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo wa Chelsea F.C. na timu ya taifa ya Ujerumani.
Baada ya kufanya majaribio ya kwanza kwa Leverkusen mwaka wa 2016, Havertz akawa kijana mwenye umri mdogo kabisa wa klabu ya Bayer Leverkusen akawa mchezaji wao mdogo kabisa wakati alifunga bao lake la kwanza mwaka uliofuata.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kai Havertz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz