Kanazawa, Ishikawa

Kanazawa (金沢市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Ishikawa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 460,000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Kanazawa








Kanazawa
Faili:Flag of .png
Bendera
NchiJapani
KandaChūbu
MkoaIshikawa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 456 928
Tovuti:  www4.city.kanazawa.lg.jp

Tazama pia

  • Chuo Kikuu cha Kanazawa
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kanazawa, Ishikawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.