Mikoa ya Japani

Mikoa ya Japani ni ngazi ya kiutawala chini ya ngazi ya taifa. Japani imegawiwa katika mikoa 47.

Ramani ya mikoa ya Japani

Mikoa mitatu ni miji ya Tokyo, Osaka na Kyoto.

Kisiwa cha Hokkaida ni mkoa mmoja tu.

Visiwa vingine vimegawiwa kwa mikoa 43 vingine.

Mikoa vimegawiwa ndani yao katika wilaya. Miji mikubwa zaidi iko chini ya mmkoa moja kwa moja. Wananchi huchagua bunge la mkoa linalosimamia shughuli zinazoamuliwa kwenye ngazi yake na kumchagua Mkuu wa Mkoa.






Orodha ya mikoa

NemboMkoaKijapaniMakao makuuKandaKisiwaWakazi

~2000

Eneo (km²)Wakazi
/km²
WilayaMijiISO
Mkoa wa Aichi愛知県NagoyaChūbuHonshū7,043,2355,153.811,3661588JP-23
Mkoa wa Akita秋田県AkitaTōhokuHonshū1,189,21511,612.11102829JP-05
Mkoa wa Aomori青森県AomoriTōhokuHonshū1,475,6359,606.26154861JP-02
Mkoa wa Chiba千葉県ChibaKantōHonshū5,926,3495,156.151,149980JP-12
Mkoa wa Ehime愛媛県MatsuyamaShikokuShikoku1,493,1265,676.44263728JP-38
Mkoa wa Fukui福井県FukuiChūbuHonshū828,9604,188.761981029JP-18
Mkoa wa Fukuoka福岡県FukuokaKyūshūKyūshū5,015,6664,971.011,0091791JP-40
Mkoa wa Fukushima福島県FukushimaTōhokuHonshū2,126,99813,782.541541485JP-07
Mkoa wa Gifu岐阜県GifuChūbuHonshū2,107,68710,598.181991149JP-21
Mkoa wa Gunma群馬県MaebashiKantōHonshū2,024,8206,363.163181261JP-10
Mkoa wa Hiroshima広島県HiroshimaChūgokuHonshū2,878,9498,476.953401037JP-34
Mkoa wa Hokkaidō北海道SapporoHokkaidōHokkaidō5,682,95083,452.476866207JP-01
Mkoa wa Hyogo兵庫県KobeKansaiHonshū5,550,7428,392.426611360JP-28
Mkoa wa Ibaraki茨城県MitoKantōHonshū2,985,4246,095.624901361JP-08
Mkoa wa Ishikawa石川県KanazawaChūbuHonshū1,180,9354,185.32282725JP-17
Mkoa wa Iwate岩手県MoriokaTōhokuHonshū1,416,19815,278.51931246JP-03
Mkoa wa Kagawa香川県TakamatsuShikokuShikoku1,022,8431,861.70549517JP-37
Mkoa wa Kagoshima鹿児島県KagoshimaKyūshūKyūshū1,786,2149,132.421961149JP-46
Mkoa wa Kanagawa神奈川県YokohamaKantōHonshū8,489,9322,415.423,515735JP-14
Mkoa wa Kochi高知県KochiShikokuShikoku813,9807,104.70115635JP-39
Mkoa wa Kumamoto熊本県KumamotoKyūshūKyūshū1,859,4516,908.452691048JP-43
Mkoa wa Kyoto京都府KyotoKansaiHonshū2,644,3314,612.93573628JP-26
Mkoa wa Mie三重県TsuKansaiHonshū1,857,3655760.72322729JP-24
Mkoa wa Miyagi宮城県SendaiTōhokuHonshū2,365,2046,861.513251036JP-04
Mkoa wa Miyazaki宮崎県MiyazakiKyūshūKyūshū1,170,0236,684.67175844JP-45
Mkoa wa Nagano長野県NaganoChūbuHonshū2,214,40912,598.4816316120JP-20
Mkoa wa Nagasaki長崎県NagasakiKyūshūKyūshū1,516,5364,092.80371979JP-42
Mkoa wa Nara奈良県NaraKansaiHonshū1,442,8623,691.09391847JP-29
Mkoa wa Niigata新潟県NiigataChūbuHonshū2,475,72412,582.3719716111JP-15
Mkoa wa Ōita大分県ŌitaKyūshūKyūshū1,221,1285,804.242101258JP-44
Mkoa wa Okayama岡山県OkayamaChūgokuHonshū1,950,6567,008.632781878JP-33
Mkoa wa Okinawa沖縄県NahaKyūshūRyūkyū
Islands
1,318,2812,271.30580541JP-47
Mkoa wa Osaka大阪府OsakaKansaiHonshū8,804,8061,893.184,652544JP-27
Mkoa wa Saga佐賀県SagaKyūshūKyūshū876,6642,439.23359849JP-41
Mkoa wa Saitama埼玉県SaitamaKantōHonshū6,938,0043,767.091,827990JP-11
Mkoa wa Shiga滋賀県OtsuKansaiHonshū1,342,8114,017.363341150JP-25
Mkoa wa Shimane島根県MatsueChūgokuHonshū761,4996,707.321141259JP-32
Mkoa wa Shizuoka静岡県ShizuokaChūbuHonshū3,767,4277,328.614841274JP-22
Mkoa wa Tochigi栃木県UtsunomiyaKantōHonshū2,004,7876,408.28313733JP-09
Mkoa wa Tokushima徳島県TokushimaShikokuShikoku823,9974,145.261991050JP-36
Tokyo東京都ShinjukuKantōHonshū12,059,2372,187.085,514139JP-13
Mkoa wa Tottori鳥取県TottoriChūgokuHonshū613,2293,507.19175639JP-31
Mkoa wa Toyama富山県ToyamaChūbuHonshū1,120,8434,247.22264627JP-16
Mkoa wa Wakayama和歌山県WakayamaKansaiHonshū1,069,8394,725.55226750JP-30
Mkoa wa Yamagata山形県YamagataTōhokuHonshū1,244,0409,323.34133944JP-06
Mkoa wa Yamaguchi山口県YamaguchiChūgokuHonshū1,528,1076,110.762501156JP-35
Mkoa wa Yamanashi山梨県KofuChūbuHonshū888,1704,465.37199864JP-19

Notes: ¹ as of 2000 — ² km² — ³ per km²

Tazama pia