Kaunti ya Samburu

Kaunti ya Kenya

Kaunti ya Samburu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Kaunti ya Samburu
Kaunti
Uundaji wa matofali katika Samburu
BenderaNembo ya Serikali
Samburu County in Kenya.svg
Kaunti ya Samburu katika Kenya
Coordinates: 1°10′N 36°40′E / 1.167°N 36.667°E / 1.167; 36.667
Nchi Kenya
Namba25
IlianzishwaMachi 4, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Bonde la Ufa
Makao MakuuMaralal
Miji mingineBaragoi, Archers Post, South Horr, Wamba, Lodosoit
GavanaMoses Kasaine Lenolkulal
Naibu wa GavanaJulius Lesseto Lawrence
SenetaSteve Lelegwe
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Maison Leshoomo
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya Samburu
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa15
Maeneo bunge/Kaunti ndogo3
Eneokm2 21 065.1 (sq mi 8 133.3)
Idadi ya watu310,327
Wiani wa idadi ya watu15
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutisamburu.go.ke

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 310,327 katika eneo la km2 21,065.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 15 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Maralal.

Jiografia

Kaunti ya Samburu ina eneo la km2 20 182.5 (sq mi 7 792.5). Imepakana na Marsabit, Turkana (kaskazini), Isiolo (mashariki), Laikipia (kusini) na Baringo (mashariki).

Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu.

Hifadhi ya Taifa ya Samburu, Msitu Loroki, Mlima Ng'iro, Milima Ndoro na Ol Doinyo Lenkiyo hupatikana Samburu[2].

Utawala

Kaunti ya Samburu ina maeneo bunge yafuatayo[3]:

Eeneo bungeKata
Samburu MasharikiWaso, Wamba Magharibi, Wamba Mashariki, Wamba Kaskazini
Samburu KaskaziniEl-Barta, Bachola, Ndoto, Nyiro, Angata Nayokie, Baawa
Samburu MagharibiLodokejek, Suguta Marmar, Maralal, Loosuk, Porro

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]

  • Samburu Central 164,942
  • Samburu East 77,994
  • Samburu North 67,391

Tazama pia

Marejeo