Kiadyghe
Kiadyghe ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Uturuki, Yordani, Syria, Iraq na Israel inayozungumzwa na Waadyghe.
Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiadyghe nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 117,500. Pia kuna wasemaji 316,000 nchini Uturuki (2014), 78,000 nchini Yordani (2013), 35,000 nchini Syria (2014), 34,000 nchini Iraq (2014) na 3,000 nchini Israel (2005).
Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadyghe kiko katika kundi la Kikirkasi.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiadyghe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiadyghe Archived 6 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiadyghe katika Glottolog
- lugha ya Kiadyghe kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiadyghe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz