Kichefuchefu

Kichefuchefu (pia: kijelezi, kitefutefu) ni msukosuko wa moyo unaomfanya mtu kuhisi kinyaa au uchafukaji wa tumbo na baada ya hapo mara nyingi hutapika.

Mtu akisaidiwa kwa kujiisi Kichefuchefu

Ni dalili mojawapo ya ugonjwa mbalimbali.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichefuchefu kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.