Kiisubu
Kiisubu ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waisubu. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiisubu imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiisubu iko katika kundi la A20.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiisubu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiisubu Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiisubu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/szv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiisubu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino