Kikisar
Kikisar (pia Kimeher au Kiyotowawa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakisar kwenye visiwa vya Kisar, Roma na Wetar. Wakisar wengine wamehamia visiwa vya [[Ambon na Timor. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikisar imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisar iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
- lugha ya Kikisar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikisar Archived 2 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikisar katika Glottolog
- lugha ya Kikisar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikisar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino