Kitelugu
Kitelugu ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Watelugu. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitelugu nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu sabini na tatu milioni na laki nane. Pia kuna wasemaji 600 nchini Singapuri. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitelugu iko katika kundi lake lenyewe la Kitelugu.
Viungo vya nje
- lugha ya Kitelugu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitelugu Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kitelugu katika Glottolog
- lugha ya Kitelugu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitelugu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz