Kiwumboko
(Elekezwa kutoka Kiwumboko (lugha))
Kiwumboko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wawumboko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwumboko imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwumboko iko katika kundi la A20.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiwumboko kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwumboko
- lugha ya Kiwumboko katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kiwumboko
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwumboko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino