Lima

Lima ni mji mkuu na kitovu cha uchumi wa Peru.

Lima

'
Habari za kimsingi
UtawalaMkoa wa Lima
Historiailiundwa 18 Januari 1535
Anwani ya kijiografiaLatitudo: 12°2′0"S
Longitudo: 77°1′0"W
Kimo110 m juu ya UB
Eneo2.664,67 km² (mji)
Wakazi- mji: 7.584.000
Msongamano wa watuwatu 8.544 kwa km²
Simu+51 (nchi) 01 (mji)
Mahali

Mji uliundwa tar. 18 Januari 1535 na Francisco Pizarro kwa jina la "Ciudad de reyes" (mji wa wafalme). Leo hii una wakazi zaidi ya milioni sita.

Gallery

Lima jinsi inavyoonekana kutoka angani
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.