Liu Gang
Liu Gang (amezaliwa 30 Januari 1961) ni mwanahisabati, mwanafizikia, na mwanasayansi wa kompyuta kutoka nchi ya China.
Ni pia kiongozi wa harakati ya kuleta demokrasia nchini China.
Baada ya kupingwa, mwaka 1996 alihamia Marekani. Liu wamemaliza Chuo Kikuu cha Columbia, hasa alichunguza linear programu.
![]() | Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Liu Gang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino