Kiidakho
(Elekezwa kutoka Luisukha)
Kiidakho-Kiisukha-Kitiriki ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na makabila matatu, yaani Waidakho, Waisukha na Watiriki. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiidakho imehesabiwa kuwa watu 598,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiidakho iko katika kundi la E40.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiidakho kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiidakho Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiidakho katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ida
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiidakho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino