Lukáš Gdula

Lukáš Gdula (alizaliwa Disemba 6, 1991) ni mwanariadha wa mbio za kutembea kutoka nchini Ucheki. Alishiriki kwenye mchuano wa kilomita 50 kwenye michuano ya dunia ya mwaka 2015[1] na 2016 michezo ya  olimpiki.[2] Mwaka 2018, alishiriki kwenye matembezi ya wanaume ya kilometa 50 kwenye michuano ya wanariadha ya Ulaya ya mwaka 2018 yaliyofanyika Berlini, Ujerumani.[3] Alimaliza nafasi ya 21.

Marejeo