Marco Bizot
Marco Bizot (alizaliwa 10 Machi 1991) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uholanzi ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya AZ katika Eredivisie ya Uholanzi.
Kazi ya klabu
Genk
Mnamo 22 juni 2014, ilitangazwa kuwa klabu ya Groningen imemuuza Bizot kwa upande wa Ubelgiji katika klabu ya Racing Genk. Alisaini mkataba kwa miaka mitatu(3).
Kazi ya kimataifa
Bizot alipata nafasi ya ya kwanza kamili katika kikosi cha kimataifa cha Uholanzi mwaka 2018 Machi.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marco Bizot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino