Mtaa

(Elekezwa kutoka Mitaa)

Mtaa (kwa Kiingereza: neighbourhood [1]) ni sehemu ya jiji, mji au kijiji.

Miongoni mwa Mitaa ya Dar es Salaam
Miongoni mwa Mitaa ya Zanzibar

Mahusiano ndani yake ni ya jirani zaidi, hasa kama wakazi wake wanafanana kwa asili, dini, hali ya uchumi n.k.

Tanbihi

Mtaa