Mkoa wa Aisén

Aisén au Aysén (Kihispania: XI Región Aysén del General Carlos Ibáñez del Campo) ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Chile. Mji mkuu wake ni Coyhaique.

Mbuga ya Patagonia, Aisén
Mahali pa Aisén katika Chile na mji mkuu
Wilaya za Aisén
  • Wilaya ya Coyhaique
  • Wilaya ya Aysén
  • Wilaya ya Capitán Prat
  • Wilaya ya General Carrera

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Aisén kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.