Mkoa wa Béré


auto

Mkoa wa Béré (kwa Kifaransa: Région de Béré; pia: Koyadougou) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Mkoa wa Béré
Mahali paMkoa wa Béré
Mahali paMkoa wa Béré
Mahali pa Mkoa wa Béré (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Woroba
NchiBendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
JimboWoroba
Serikali[1]
 - PrefectAdje Dago Remi
 - Rais wa BarazaKaramoko Abdel Kader
Eneo[2]
 - Jumla13.293 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 389,758
GMT (UTC+0)

Uko katika Magharibi ya Kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Mankono. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 389,758.

Béré kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo