Mkoa wa Ngounié

Ngounié ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 37,750.

Mkoa wa Ngounié
Mkoa wa Ngounié

Mji mkuu wa mkoa huu ni Mouila.

Kwa upande wa kusini-mashariki, Ngounié umepakana na Mkoa wa Niari wa Jamhuri ya Kongo. Kwa upande wa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:

Wilaya

Wilaya za Ngounié

Mkoa wa Ngounié umegawanyika katika wilaya 7:

  • Boumi-Louetsi Department (Mbigou)
  • Dola Department (Ndende)
  • Douya-Onoy Department (Mouila)
  • Louetsi-Wano Department (Lebamba)
  • Ndolou Department (Mandji)
  • Ogoulou Department (Mimongo)
  • Tsamba-Magotsi Department (Fougamou)