Monica Sagna

mchezo wa Judo uko Senegal

Monica Sagna (alizaliwa 10 Juni 1991) ni mwanamke mwanamichezo wa judo[1] kutoka Senegal. Yeye ni mshindi wa medali mara tatu, ikiwa ni pamoja na dhahabu, katika Michezo ya Afrika. Pia ameshinda medali nyingi katika Mashindano ya Judo ya Afrika.

Kazi

Aliibuka na moja ya medali za shaba katika tukio la wanawake la +78 kg katika Michezo ya Afrika ya mwaka 2019 iliyofanyika Rabat, Moroko.[2]

Mwaka 2020, alishinda moja ya medali za shaba katika tukio la wanawake la +78 kg katika Mashindano ya Judo ya Afrika yaliyofanyika Antananarivo, Madagascar.[3]

Katika Mashindano ya Judo ya Afrika ya mwaka 2021 yaliyofanyika Dakar, Senegal, pia alishinda moja ya medali za shaba katika tukio lake.[4]

Mafanikio

MwakaMashindanoSehemuMatokeoTukio
Representing  Senegal
2010African Championships Yaounde, Cameroon3rdHeavyweight (+78 kg)
7thOpen category
2011African Championships Dakar, Senegal3rdOpen category
All-Africa Games Maputo, Mozambique3rdHeavyweight (+78 kg)
2012African Championships Agadir, Morocco3rdOpen category
2013African Championships Maputo, Mozambique5thHeavyweight (+78 kg)
Francophone Games Nice, France3rdHeavyweight (+78 kg)
2014African Championships Port Louis, Mauritius5thHeavyweight (+78 kg)
3rdOpen category
2015African Championships Libreville, Gabon3rdHeavyweight (+78 kg)
3rdOpen category
All-Africa Games Brazzaville, Congo5thHeavyweight (+78 kg)
2016African Championships Tunis, Tunisia3rdHeavyweight (+78 kg)
3rdOpen category
2017African ChampionshipsKigezo:Country data MAD Antananarivo, Madagascar3rdHeavyweight (+78 kg)
3rdOpen category
2018African Championships Tunis, Tunisia3rdHeavyweight (+78 kg)
2ndOpen category
2019African Games Rabat, Morocco3rdHeavyweight (+78 kg)
2020African ChampionshipsKigezo:Country data MAD Antananarivo, Madagascar3rdHeavyweight (+78 kg)
2021African Championships Dakar, Senegal3rdHeavyweight (+78 kg)

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Monica Sagna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.