Mto Kikafu

Mto Kikafu ni tawimto la mto Weruweru na kwa njia yake unachangia mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje