Mto Ruwana

Mto Ruwana ni mto wa mkoa wa Mara (Tanzania kaskazini) ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto wa Naili.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje