Mto Wilge
Mto Wilge unaopatikana katika majimbo ya Mpumalanga na Gauteng, Afrika Kusini ni tawimto mojawapo la mto Olifants (Limpopo).
Chanzo cha mto Wilge kipo umbali wa takribani kilometa 15 kaskazini magharibi mwa Leandra. [1] Hutiririsha maji yake kuelekea kaskazini na kujiunga na mto Bronkhorst, kisha kubadili mwelekeo na kutiririsha maji yake kuelekea kaskazini mashariki na kujiunga na mto Olifants takribani kilometa 12 kutoka bwawa la Loskop.[2]
Tazama pia
Marejeo
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Wilge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino