New York (jimbo)

jimbo la Marekani








New York ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko kwenye pwani la kaskazini-mashariki ya nchi ikipakana na majimbo ya Pennsylvania, Vermont, Massachusetts, Connecticut na New Jersey halafu nchi jirani ya Kanada.

New York

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuAlbany
Eneo
 - Jumla141,299 km²
 - Kavu122,238 km² 
 - Maji19,016 km² 
Tovuti:  http://www.ny.gov/
Ramani ya jimbo la New York

Mji mkuu ni Albany lakini mji mkubwa ni New York.

Jimbo lina wakazi 19,254,630 kwenye eneo la 141,205 km².

Mto mkubwa ni Mto Hudson.

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.

Marejeo

New York census data kutoka Factfinder.census.gov Archived 2020-02-12 at Archive.today

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya New York bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New York (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.