Oran

Oran (kwa Kiarabu: وَهران, Wahrān) ni mji muhimu wa pwani kaskazini-magharibi mwa Algeria.

Oran

Ndio wa pili nchini baada ya mji mkuu Algiers kwa biashara, viwanda na elimu.

Wakazi walihesabiwa kuwa 759,645 mwaka 2008,[1] lakini jiji lote linakadiriwa kuwa na watu 1,500,000[2][3].

Tanbihi

Viungo vya nje

Oran travel guide kutoka Wikisafiri

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oran kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.