Orodha ya miji ya Mali

Orodha ya miji ya Mali inaonyesha miji mikubwa zaidi nchini Mali, yaani "communes" (halmashauri) zote zenye wakazi zaidi ya 50,000 wakati wa sensa ya tarehe 1 Aprili 2009 pamoja na mikoa (région) na wilaya (cercle) ambako zinapatikana.

Ramani ya Mali, mikoa inayoonyeshwa ni hali kabla ya mwaka 2016

Bamako ni eneo la pekee, si sehemu ya mkoa wowote.

JinaMkoa
(Region)
Wilaya
(Cercle)
Halmashauri

ya vijijini au mjini

Wakazi 1998Wakazi 2009Ongezeko la kila mwaka(wastani)
Bamako[1]BamakoBamakomjini1,016,2961,809,1064.8
Sikasso[2]SikassoSikassomjini134,774225,7534.8
KalabancoroKoulikoro[3]Kativijijini35,582166,72215.1
KoutialaSikassoKoutialavijijini76,914137,9195.5
Ségou[4]SégouSégoumjini105,305130,6902.0
Kayes[5]KayesKayesmjini67,424127,3686.0
KatiKoulikoro[6]Katimjini52,714114,9837.3
Mopti[7]MoptiMoptimjini80,472114,2963.2
NionoSégou[8]Nionovijijini54,25191,5544.9
Gao[9]GaoGaomjini52,20186,6334.7
SanSégou[10]Sanmjini46,63168,0673.5
KoroMoptiKorovijijini41,44062,6813.8
BlaSégou[11]Blavijijini27,56861,3387.5
BougouniSikassoBougounimjini37,36059,6794.3
MandéKoulikoro[12]Kativijijini30,57759,3526.2
Baguineda-CampKoulikoro[13]Kativijijini28,37158,661
KolondiébaSikassoKolondiébavijijini37,94557,8983.9
KolokaniKoulikoro[14]Kolokanivijijini33,55857,3075.0
PelenganaSégou[15]Ségouvijijini19,96356,2599.9
Timbuktu (Tombouctou)[16]TimbuktuTimbuktumjini29,73254,4535.7
KourySikassoYorossovijijini33,60554,4354.5
MassiguiKoulikoro[17]Dioïlavijijini42,66553,9472.2
TonkaTimbuktu[18]Goundamvijijini37,82153,4383.2
KadioloSikassoKadiolovijijini31,29252,9324.9
Wassoulou-BalleSikassoYanfolilavijijini37,49851,7273.0
KaladougouKoulikoroDioïlavijijini23,82351,3847.2
KoumantouSikassoBougounivijijini33,98751,3483.8
Ouelesse-bougouKoulikoroKativijijini36,19850,0563.0

Marejeo

Bamako ni mji mkuu na mji mkubwa wa Mali, mwaka 2008
Sikasso ni mji mkubwa wa pili nchini, picha ya mwaka 2008
Ségou ni mji mkubwa wa tano wa Mali, 2008

Viungo vya Nje