Papa Martin V

Papa Martin V (takriban 136820 Februari 1431) alikuwa Papa kuanzia tarehe 11/21 Novemba 1417 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genazzano, Italia[2].

Papa Martino V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Oddone Colonna.

Alimfuata Papa Gregori XII akafuatwa na Papa Eugenio IV.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.