Papasi
Papasi | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Papasi (Ornithodoros savignyi) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 6:
|
Papasi ni arithropodi wa familia Argasidae katika ngeli Arachnida (arakinida). Hujiama kwenye mwili wa mnyama na kufyonza damu kama chakula. Spishi nyingi ni wasumbufu juu ya wanyama wafugwao na wanaweza kusambaza magonjwa. Katika Afrika papasi wa jenasi Ornithodoros husambaza homa ya vipindi kwa binadamu.
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papasi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino