Philip Isdor Mpango
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Philip Isdor Mpango (amezaliwa katika wilaya ya Buhigwe, Mkoa wa Kigoma, 14 Julai 1957) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.
Aliteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa rais John Magufuli kwa miaka 2015 – 2020 [1], halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini tarehe 30 Machi 2021 aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania[2].
Marejeo
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz