Rédah Atassi

Rédah Atassi (alizaliwa 16 Machi 1991) ni mchezaji wa soka wa Moroko anayesakata kama beki wa kati.

Kimataifa

Atassi alizaliwa Ufaransa na ana nasaba ya Morocco.[1] Alikuwa mshiriki wa timu ya vijana ya Morocco U20 katika mechi za kirafiki mbalimbali mwaka 2011 na 2012 Toulon Tournament.[2]

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rédah Atassi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.