Safed

Safed ni mji wa Israeli ulio katika kimo cha juu zaidi (mita 900 juu ya usawa wa bahari).

Idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 36,094 (2019)[1].

Marejeo