Sajjad Fazel

Mwanasayansi


Sajjad Sherally Fazel (amezaliwa Mei 14, 1991) ni mfamasia wa Kliniki Tanzania, mwandishi wa makala za afya na mwanzilishi wa Afya Yako, juhudi ya kwanza nchini Tanzania ya kustawisha afya ya umma kwa intaneti.[1][2][3]

Sajjad Fazel

Sajjad Fazel, Mwanasayansi wa afya ya jamii, Chuo Kikuu cha Calgary, Canada
Amezaliwa14 Mei 1991
NchiCanada
Kazi yakeMwanasayansi na Mtafiti wa afya ya jamii
ElimuDaktari wa famasi
Tovutisajjadfazel.ca

Elimu

Mwaka 2009 alimaliza Haven of Peace Academy Archived 15 Agosti 2020 at the Wayback Machine..

Rasmi mwanzoni mwa mwaka 2015 aliweza kuwa Daktari wa Famasia kutoka Manipal Academy of Higher Education.

Mnamo mwaka 2018 alipata Shahada ya pili katika kitivo cha Afya ya Jamii "Master of Public Health" kutoka University of Western Ontario.

Marejeo

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sajjad Fazel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.