Sarah Clarke

Sarah Clarke (amezaliwa tar. 16 Februari 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy, akiwa kama mwigizaji bora wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Nina Myers katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24, na uhusika mkuu wake uliopo ujulikanao kama Erin McGuire katika mfululizo wa Trust Me.

Sarah Clarke

Sarah Clarke na Xander Berkeley katika seti ya 24
Amezaliwa16 Februari 1972 (1972-02-16) (umri 52)
St. Louis, Missouri, Marekani
Kazi yakeMwigizaji
NdoaXander Berkeley (2002-hadi leo); mtoto 1

Filamu

MwakaFilmuKamaAinaMaelezo
2000Pas de deuxThe ClownFilamukama Sarah Lively
All About GeorgeCatherineFilamukama Sarah Lively
Sex and the CityMelinda PetersTamthiliaKipindi kimoja kama Sarah Lively
200124Nina MyersTamthiliaVipindi 36 (2001–2004)
The AccidentReenyFilamu
EdKara ParsonsTamthiliaKipindi kimoja kama Sarah Lively
2002Emmett's MarkSarahFilamuKilling Emmett Young
2003ThirteenBirdieFilamu
The Third DateKatrinaFilamu
Karen SiscoBarbara SimmonsTamthiliaKipindi 1
2004Below the BeltCompany SpokespersonFilamuHuman Error
2005Happy EndingsDianeFilamu
HouseCarly ForlanoTamthiliaKipindi 1
Psychic DrivingSelmaFilamu
E-RingJim's Wife
Las VegasOlivia DucheyTamthiliaVipindi 2
2006A House DividedJackieFilamu
24: The GameNina MyersVideo gamesauti
Commander in ChiefChristine ChambersTamthiliaKipindi 1
The Lather EffectClaireOne More Night
2007AlibiSarah WintersTamthilia
The ColonyOlgaFilamu
LifeMary Ann FarmerTamthiliaKipindi 1
2008TwilightRenée DwyerFilamu
The CleanerLauren KeenanTamthiliaKipindi 1
Wainy DaysRebeccaTamthiliaKipindi 1
2009Women in TroubleMaxine McPhersonFilamu
Trust MeErin McGuireTamthiliaVipindi 13
BedroomsJanetFilamu
2010Men of a Certain AgeDoriTamthiliaVipindi 4
The Twilight Saga: EclipseRenée DwyerFilamu
Below the BeltwayAnneFilamu
The Booth at the EndSister CarmelTamthiliaVipindi 5
2011The Twilight Saga: Breaking Dawn Part 1Renée DwyerFilamu
NikitaKatya UdinovTamthilia
2012Covert AffairsLena SmithTamthilia

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Clarke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.