Seli nyekundu za damu
Seli nyekundu za damu (pia erithrosaiti , kutoka Kiingereza red blood cells au erythrocyte) ni seli za damu zenye rangi nyekundu.
Kazi yake ni hasa kubeba oksijeni kutoka mapafu kwenda mwilini mwote.[1][2] Seli nyekundu za damu hupokea oksijeni katika mapafu na kuachana nayo wakati zinabanwa katika mishipa ya damu midogo mwilini.
Rangi nyekundu inatokana na protini ya hemoglobini ndani yake.
Damu ya wanawake huwa na seli nyekundu milioni 4.8 kwa mikrolita ya damu. Damu ya wanaume huwa na seli milioni 5.4 kwa ml.[3]
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seli nyekundu za damu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz