Show Me the Meaning of Being Lonely

"Show Me the Meaning of Being Lonely" ni single ya tatu ya kundi zima la muziki wa pop na R&B la Backstreet Boys. Single inatoka katika albamu yao ya mwaka wa 1999 ya Millennium. Hiki ni kibao chao madhubuti, cha pili baada ya kibao chao cha kwanza cha I Want It That Way kutoka kwenye albamu moja, na kuifanya iwe miongoni mwa vibao vilivyopata mafanikio makubwa sana kwa upande wa wa bendi za vijana. Kibao hiki kilitolewa mnamo tar. 10 Desemba 1999, na video yake ikatoka mwanzoni mwa mwaka wa 2000 na kushika nafasi ya 3 kwenye chati za UK Singles Chart, na nafasi ya 6 kwenye chati za Billboard Hot 100. Pia ilipata kupagawisha na kushika nafasi ya #2 nchini Uswisi, Uholanzi, Sweden na New Zealand, na #3 nchini Finland na Norway. [1]

“Show Me the Meaning of Being Lonely”
“Show Me the Meaning of Being Lonely” cover
Single ya Backstreet Boys
kutoka katika albamu ya Millennium
Imetolewa21 Desemba 1999
MuundoCD Single
ImerekodiwaOktoba 1998 katika Cheiron Studios and Polar Studios
(Stockholm, Sweden)
AinaPop
Urefu3:53
StudioJive Records
MtunziMax Martin

Herbert Crichlow

MtayarishajiMax Martin

Kristian Lundin

Mwenendo wa single za Backstreet Boys
"Larger Than Life"
(1999)
"Show Me the Meaning of Being Lonely"
(1999)
"The One"
(2000)

Orodha ya Nyimbo

Toleo la Kawaida

  1. Show Me the Meaning of Being Lonely
  2. I'll Be There for You
  3. You Wrote the Book on Love

Maremixi na vinyl

  1. Show Me The Meaning (Soul Solution House Of Lonliness Vocal)
  2. Show Me The Meaning (Jason Nevins Crossover Instrumental)
  3. Show Me The Meaning (Soul Solution Mixshow Version)
  4. Show Me The Meaning (LP Version)
  5. Show Me The Meaning (Jason Nevins Crossover Remix)
  6. Show Me The Meaning (Remix A Cappella)
  7. Show Me The Meaning (Soul Solution Dub Of Lonliness)
  8. Show Me The Meaning (Bonus Beats)

Muziki wa video

Chati

Chati (2000)Nafasi
Australian ARIA Singles Chart19
Austrian Singles Chart8
Begium (Flanders) Singles Chart4
Belgium (Walonia) Singles Chart14
Dutch Singles Chart2
Finnish Singles Chart3
German Singles Chart3
Irish Singles Chart5
New Zealand RIANZ Singles Chart2
Norwegian Singles Chart3
Swedish Singles Chart2
Swiss Singles Chart2
UK Singles Chart3
U.S. Billboard Hot 1006
U.S. Billboard Top 40 Mainstream1
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks2

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Show Me the Meaning of Being Lonely kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.