Sir William Mackinnon
Sir William Mackinnon (alizaliwa Campbeltown, Argyll, Uskoti, 13 Machi 1823) alikuwa mfanyabiashara wa kimataifa.
Baada ya kuanza biashara ya mboga, alienda Glasgow na kufanya kazi kwa mfanyabiashara ambaye alikuwa na maslahi ya biashara ya Asia. Mackinnon alienda India mwaka wa 1847 na kujiunga na rafiki wa zamani wa shuleni, Robert Mackenzie, katika biashara ya pwani, akibeba bidhaa kutoka bandari moja hadi nyingine karibu na Bahari ya Bengal. Pamoja waliunda kampuni ya "Mackinnon Mackenzie" na Mackinnon aliamua kufanya mambo ya msingi katika shughuli zake.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sir William Mackinnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino