Stralsund
Stralsund ni mji wa Ujerumani ya kaskazini katika jimbo la Mecklenburg-Pomerini. Iko kando ya bahari ya Baltiki kuna bandari. Idadi ya wakazi ni mnamo 50,000.
Kihistoria Stralsund ilikuwa kati ya miji muhimu ya biashara katika shirikisho la Hanse. Kitovu cha kihistoria cha mji kimetunzwa vizuri ikapokelewa katika orodha la UNESCO la urithi wa dunia.
Baada ya vita ya miaka 30 ilikuwa sehemu ya ufalme wa Uswidi kwa miaka 200.
Tazama pia
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Stralsund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz