Timo Boll

Timo Boll (German pronunciation: [ˈtiːmo ˈbɔl],  audio ?;alizaliwa machi 8,1981) ni mchezaji mashuhuri wa Ujerumani wa tenisi ya mezani , ambaye alikuwa akiichezea Borrusia Dusseldorf. Anashika nafasi ya pili katika ligi ya taifa ya tenisi ya mezani ya Ujerumani,[1]na ya kumi katika viwango vya ITTF kama ile ya Julai 2021. [2]

Mchezaji wa tenisi ya mezani Timo Boll
Mchezaji wa tenisi ya mezani Timo Boll

Utotoni

Boll alizaliwa Erbach im Odenwald, Hessen. Boll alianza kucheza akiwa na miaka 4,na alikuwa akifundishwa na baba yake kwa muda huo. Mwaka 1987, alikuwa mwanachama wa TSV Höchst. Alkiwa na miaka 8,aligunduliwa na mkufunzi wa Hessian Helmut Hampel, ambaye ndiye aliyemkuza.

Marejeo