Tupac: Resurrection (kibwagizo)

Tupac: Resurrection ilitolewa na Amaru Entertainment kama kibwagizo cha filamu ya makala kuhusu Tupac ya mwaka wa 2003. Tupac: Resurrection ilipata kuchaguliwa katika sherehe za Tuzo za Academy. Ina rekodi kadhaa zilizowahi kutolewa na 2Pac, ikiwa ni pamoja na "Death Around the Corner" kutoka katika Me Against the World, "Secretz of War" kutoka katika Still I Rise, Holler If Ya Hear Me kutoka katika Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. na "Rebel of the Underground" kutoka katika 2Pacalypse Now; na mistari kadhaa ya 2Pac ambayo haikutolewa hapo awali na zimepangwa upya kwenye nyimbo mpya kama vile "Ghost", "One Day at a Time", na "Runnin (Dying to Live)".

Tupac: Resurrection
Tupac: Resurrection Cover
Soundtrack ya 2Pac
Imetolewa 4 Novemba, 2003 (Marekani)
Aina Hip hop
Urefu 54:59
Lebo Amaru
Mtayarishaji Eminem, Johnny "J", Stretch, Shock G, Easy Mo Bee, Red Spyda
Wendo wa albamu za 2Pac
Nu-Mixx Klazzics
(2003)
Tupac: Resurrection (Original Soundtrack)
(2003)
2Pac Live
(2004)


Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
ChanzoMakadirio
Allmusic4/5 stars [1]
RapReviews.com(8/10) [2]
Rolling Stone2/5 stars [3]
Uncut4/5 stars [4][5]

Albamu imeenda kuuza nakala zaidi ya 420,000 na kupata hadhi ya platinum katika wiki yake ya kwanza. Eminem ametayarisha sehemu nyingi za albamu hii. Wimbo wa "Runnin (Dying to Live)" ulishinda tuzo ya Top Soundtrack Song of the Year kwenye sherehe za 2005 ASCAP Rhythm & Soul Music Awards. Albamu ina wasanii kama vile The Notorious B.I.G., Eminem, 50 Cent, Outlawz, na Digital Underground. "Intro", "Ghost", "Death Around The Corner", "Bury Me A G" and "Str8 Ballin'" hazikuwepo katika filamu hii, lakini zimeonekana katika albamu.

Imeuza nakala 1,666,335 huko nchini Marekani kwa mwaka wa 2011.[6]

Orodha ya nyimbo

# JinaMtayarishaji Urefu
1. "Intro" (ambazo awali zilikuwa hazijatolewa)  0:05
2. "Ghost" (ambazo awali zilikuwa hazijatolewa)Eminem 4:17
3. "One Day at a Time (Em's Version)" (akiwa na Eminem akishirikiana na. Outlawz, ambazo awali zilikuwa hazijatolewa)Eminem 3:44
4. "Death Around the Corner" (kutoka Me Against The World, 1995)Johnny "J" 4:07
5. "Secretz of War" (akishirikiana na Outlawz, kutoka Still I Rise, 1999)Johnny "J" 4:13
6. "Runnin' (Dying to Live)" (akishirikiana na The Notorious B.I.G., imetolewa mnamo 2002)Eminem 3:51
7. "Holler If Ya Hear Me" (kutoka Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z, 1993)Stretch 4:38
8. "Starin' Through My Rear View" (akishirikiana na Outlawz, from Gang Related soundtrack, 1997)Makaveli, Johnny "J" 5:11
9. "Bury Me a G" (akishirikiana na Thug Life, kutoka Thug Life Volume 1, 1994)Thug Music 5:00
10. "Same Song" (akishirikiana na Digital Underground, kutoka This Is an EP Release, 1991)Shock G 3:57
11. "Panther Power" (akishirikiana na Tyson, from Beginnings: The Lost Tapes 1988–1991, 2000)Chopmaster J and Strictly Dope 4:36
12. "Str8 Ballin'" (kutoka Thug Life Volume 1, 1994)Easy Mo Bee 5:04
13. "Rebel of the Underground" (kutoka 2Pacalypse Now, 1991)Shock G 3:17
14. "The Realist Killaz" (akishirikiana na 50 Cent, ambazo awali zilikuwa hazijatolewa)Red Spyda 2:59

Sampuli

  • "Runnin' (Dying to Live)"
    • "Dying to Live" ya Edgar Winter
  • "The Realist Killaz"
  • "Starin' Through My Rear View"
    • "In The Air Tonight" ya Phil Collins

Nafasi za Chati za Albamu

ChatiNafasi iliyoshika
Belgium Charts (Flanders)#41[7]
Billboard 200#2[8]
Canadian Charts#3[8]
Dutch Charts#36[9]
Deutsch Charts#76[10]
French Charts#57[11]
Irish Charts#25[12]
Switzerland Charts#68[13]
Top R&B/Rap Albums#3[8]
UK Charts#62[14]

Single za albamu

Maelezo ya single
"One Day at a Time (Em's Version)"
  • Imetolewa: 2003
  • B-side:
"Runnin' (Dying to Live)"

Marejeo