Uchaguzi mkuu
Uchaguzi mkuu ni ule unaofanyika kuchagua kwa kura wote au walau wengi sana kati ya wajumbe wa kundi fulani, hasa bunge la nchi. Uchaguzi wa namna hiyo kwa kawaida unafanyika kila baada ya muda fulani, tofauti na uchaguzi mdogo ambapo anachaguliwa mmoja au wachache kutokana na dharura iliyotokea[1].
Reflist
Viungo vya nje
- International IDEA's Electoral Processes Program
- A New Nation Votes: American Election Returns 1787-1825
- General Election 2010
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uchaguzi mkuu kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz