Ugonjwa wa mawasiliano
Ugonjwa wa mawasiliano (kwa Kiingereza "Communication disorder") ni ugonjwa unaoathiri uwezo wa mtu wa kuelewa, kuchunguza, au kutumia lugha na kushindwa kutoa hoja ili kushiriki kwa ufanisi katika mazungumzo na wengine.
Husababishwa na hitilafu fulanifulani kwenye ubongo. Ugonjwa huu unamfanya mtu ashindwe kuongea mbele ya umati wa watu.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ugonjwa wa mawasiliano kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino