Uislamu nchini Uganda

Uislamu nchini Uganda umekadiriwa kuwa ni asilimia 12 tu ya wakazi wote wa nchini humo hasa kwa hesabu waliofanya ya sensa ya mwaka wa 2002.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa nchini humo ni wale wanaofuata dhehebu la Sunni. Wapo kiasi pia Shia na Ahmadiyya.[2]

Msikiti wa Taifa Uganda ni moja kati ya misikiti mikubwa mno katika eneo la Afrika ya Jangwa la Sahara.
Uislamu kwa nchi

Takwimu za hivi karibuni

Msikiti katika eneo la vijiji huko nchini Uganda

Sensa ya taifa ya mwaka wa 2002 ilikerediwa na kuonesha kuna Waislamu asilimia 12.1 katika jumla ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo.

Dini% Waislamu
Kati18.4%
Mashariki17.0%
Kaskazini8.5%
Magharibi4.5%
Jumla12.1%

Tazama pia

Marejeo

  •  This article incorporates public domain material from websites or documents of the Library of Congress Country Studies.


Viungo vya Nje