Uislamu kwa nchi

Uislamu ni dini ya pili duniani kwa wingi wa wafuasi. Kulingana na utafiti uliofanywa mwaka 2010 na kutolewa Januari 2011,[1][2] Waislamu ni bilioni 1.57, unachukua zaidi ya asilimia 23 ya idadi ya watu wote.[3][4][5]

Idadi ya Waislamu Dunia kwa asilimia (Pew Research Center, 2014).
Uislamu kwa nchi

Waislamu walio wengi ni wa madhehebu ya: Sunni (75–90%)[6] au Shia (10–20%).[7] Ahmadiyya wanawakilisha karibia 1% ya Waislamu wa dunia nzima.[8]

Uislamu ni dini yenye nguvu huko Mashariki ya Kati, Afrika Magharibi, Pembe la Afrika, Sahel,[1][9][10][11] na baadhi ya sehemu za Asia.[12] Baadhi ya jumuia za Kiislamu pia zinapatikana huko Uchina, Balkans, Uhindi na Urusi.[1][13]

Sehemu nyingine za dunia ambazo zina jumuia nyingi za wahamiaji wa Kiislamu ni pamoja na Ulaya ya Magharibi, kwa mfano, ambapo Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo, ambapo inawakilisha asilimia 6 ya jumla ya wakazi wote.[14]

Kulingana na ripoti ya Pew Research Center mnamo 2010 kulikuwa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi zipatazo 49.[15] Karibu asilimia 62 ya Waislamu wa duniani kote wanaishi Kusini na Kusini mashariki mwa bara la Asia, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni 1.[16] Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu duniani ni Indonesia, hii peke yake inachukua asilimia 12.7 ya idadi ya Waislamu wote wa dunia, ikifuatiwa na Pakistan (11.0%), India (10.9%), na Bangladesh (9.2%).[1][17]Karibia asilimia 20 ya Waislamu wanaishi katika nchi za Kiarabu.[18] Huko Mashariki ya Kati, nchi ambazo si za Kiarabu - Uturuki na Iran - ni nchi zenye Waislamu wengi sana; huko Afrika, Misri na Nigeria zina jumuia nyingi za Kiislamu.[1][17] Utafiti huo umekuta Waislamu wengi zaidi huko Uingereza kuliko hata Lebanon na wengi zaidi huko China kuliko hata nchini Syria.[1]

Nchi

Idadi zinazoonekana katika safu nne za kwanza hapo chini zinatokana na ripoti ya utafiti wa kidemografia uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew maarufu kama The Future of the Global Muslim Population, tangu 27 Januari 2011.[1][2]

Jedwali

Nchi/Kanda[1]Idadi ya Waislamu
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu (%) nchini
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu nchini (%) kwa Dunia Nzima
Ripoti ya Pew 2010[1]
Idadi ya Waislamu
Vyanzo vingine
Asilimia za Waislamu (%)
Vyanzo vingine
Afghanistan29,047,00099.81.8
Albania1,500,00038.80.21,587,608 (official census)[19]38.8%[20][21] 56.7%[19]
Algeria34,780,00098.22.1
American Samoa< 1,000< 0.1< 0.1
Andorra< 1,000< 0.1< 0.1
Angola90,0001.0< 0.1
Anguilla< 1,0000.3< 0.1
Antigua na Barbuda< 1,0000.6< 0.1
Argentina400,0002.50.1
Armenia< 1,000< 0.1< 0.1
Aruba< 1,0000.4< 0.1
Australia399,0001.9< 0.1476,291 (official census)[22]2.2%[22]
Austria475,0005.7< 0.1400-500,000[23]~6.0%[24]
Azerbaijan8,795,00098.40.5
Bahamas< 1,0000.1< 0.1
Bahrain655,00081.2< 0.1866,888 (official census)[25]70.2%[25]
Bangladesh148,607,00090.49.2
Barbados2,0000.9< 0.1
Belarus19,0000.2< 0.1
Ubelgiji638,0006.0< 0.1628,751[26]6.0%[26]
Belize< 1,0000.1< 0.1
Benin2,259,00024.50.1
Bermuda< 1,0000.8< 0.1
Bhutan7,0001.0< 0.1
Bolivia2,000< 0.1< 0.1
Bosnia-Herzegovina1,564,00041.60.145%[27]
Botswana8,0000.4< 0.1
Brazil35,0000.1< 0.135,167 (official census)[28]
British Virgin Islands< 1,0001.2< 0.1
Brunei211,00051.9< 0.167%[29]
Bulgaria1,002,00013.40.1577,139 (official census)[30]10%[30]
Burkina Faso9,600,00058.90.660.5%[31]
Burma (Myanmar)1,900,0003.80.1
Burundi184,0002.2< 0.1
Cambodia240,0001.6< 0.1
Cameroon3,598,00018.00.220.9%[32]
Canada940,0002.80.11,053,945 (official census)[33]1.9%,[34] 3.2%[33]
Cape Verde< 1,0000.1< 0.1
Kigezo:Country data Cayman Islands Cayman Islands< 1,0000.2< 0.1
Central African Republic403,0008.9< 0.115%[35][36]
Chad6,404,00055.70.4
Chile4,000< 0.1< 0.12,894 (official census)[37]0.03% (over 15+ pop.)[37]
China23,308,0001.81.450,000,000[38]
Colombia14,000< 0.1< 0.140,000 to 80,000[39]
Comoros679,00098.3< 0.1
Congo969,0001.40.1
Cook Islands< 1,000< 0.1< 0.1
Costa Rica< 1,000< 0.1< 0.1
Croatia56,0001.3< 0.1
Cuba10,0000.1< 0.1
Cyprus200,00022.7< 0.1
Czech Republic4,000< 0.1< 0.1
Denmark226,0004.1< 0.1210,000[40]3.7%[40]
Djibouti853,00097.00.1
Dominica< 1,0000.2< 0.1
Dominican Republic2,000< 0.1< 0.1
Ecuador2,000< 0.1< 0.1
Egypt80,024,00094.74.991%[41]
El Salvador2,000< 0.1< 0.1
Equatorial Guinea28,0004.1< 0.1
Eritrea1,909,00036.50.150%[42]
Estonia2,0000.1< 0.11,400[43]
Ethiopia25,000,00033.81.825,037,646[44]34%
Faeroe Islands< 1,000< 0.1< 0.1
Falkland Islands< 1,000< 0.1< 0.1
Federated States of Micronesia< 1,000< 0.1< 0.1
Fiji54,0006.3< 0.1
Finland42,0000.8< 0.1
France4,704,0007.50.38%-10%[45]
French Guiana2,0000.9< 0.1
Kigezo:Country data French Polynesia French Polynesia< 1,000< 0.1< 0.1
Gabon145,0009.7< 0.1
Gambia1,669,00095.30.1
Georgia442,00010.5< 0.1
Germany4,119,0005.00.34,300,000[46]5,4%[46]
Ghana3,906,00016.10.2
Gibraltar1,0004.0< 0.1
Greece527,0004.7< 0.1
Kigezo:Country data Greenland Greenland< 1,000< 0.1< 0.1
Grenada< 1,0000.3< 0.1
Kigezo:Country data Guadeloupe Guadeloupe2,0000.4< 0.1
Kigezo:Country data Guam Guam< 1,000< 0.1< 0.1
Guatemala1,000< 0.1< 0.1
Guinea8,693,00084.20.5
Guinea Bissau705,00042.8< 0.150%[47]
Guyana55,0007.2< 0.1
Haiti2,000< 0.1< 0.1
[[File:|22x20px|border |alt=Honduras|link=Honduras]] Honduras11,0000.1< 0.1
Hong Kong91,0001.3< 0.1
Hungary25,0000.3< 0.15,579 (official census)[48]
Iceland< 1,0000.1< 0.1770[49]0.24%[49]
India177,286,00014.610.9
Indonesia204,847,00088.112.7
Iran74,819,00099.74.6
Iraq31,108,00098.91.9
Ireland43,0000.9< 0.1
Isle of Man< 1,0000.2< 0.1
Israel1,287,00017.70.1
Italia1,583,0002.60.1825,000[24]1.4%[24]
Ivory Coast7,960,00036.90.540%[50][51][52]
Jamaica1,000< 0.1< 0.1
Japan185,0000.1< 0.1
Jordan6,397,00098.80.4
Kazakhstan8,887,00056.40.570.2% (official census)[53]
Kenya2,868,0007.00.210%[54]
Kiribati< 1,000< 0.1< 0.1
Kosovo2,104,00091.70.11,584,000[55]
Kuwait2,636,00086.40.2
Kyrgyzstan4,927,00088.80.3
Laos1,000< 0.1< 0.1
Latvia2,0000.1< 0.1
Lebanon2,542,00059.70.2
Lesotho1,000< 0.1< 0.1
Liberia523,00012.8< 0.1
Libya6,325,00096.60.4
Liechtenstein2,0004.8< 0.1
Lithuania3,0000.1< 0.1
Luxembourg11,0002.3< 0.1
Kigezo:Country data Macau Macau< 1,000< 0.1< 0.1
Masedonia Kaskazini713,00034.9< 0.1
Madagascar220,0001.1< 0.17%[56]
Malawi2,011,00012.80.1
Malaysia17,139,00061.41.1
Maldives309,00098.4< 0.1
Mali12,316,00092.40.8
Malta1,0000.3< 0.1
Marshall Islands< 1,000< 0.1< 0.1
Kigezo:Country data Martinique Martinique< 1,0000.2< 0.1
Mauritania3,338,00099.20.2
Mauritius216,00016.6< 0.1
Mayotte197,00098.8< 0.1
Mexico111,0000.1< 0.13,700 (official census)[57]
Moldova15,0000.4< 0.1
Monaco< 1,0000.5< 0.1
Mongolia120,0004.4< 0.1
Montenegro116,00018.5< 0.1118,477 [58]19.11% [58]
Kigezo:Country data Montserrat Montserrat< 1,0000.1< 0.1
Moroko32,381,00099.92.099%[59]
Mozambique5,340,00022.80.3
Namibia9,0000.4< 0.1
Nauru< 1,000< 0.1< 0.1
Nepal1,253,0004.20.1
Netherlands914,0005.50.15.8%[60]
Kigezo:Country data Netherlands Antilles Netherlands Antilles< 1,0000.2< 0.1
Kigezo:Country data New Caledonia New Caledonia7,0002.8< 0.1
New Zealand41,0000.9< 0.1
Nicaragua1,000< 0.1< 0.1
Niger
15,627,00098.31.0
Nigeria75,728,00047.94.785,000,00050%
Kigezo:Country data Niue Niue< 1,000< 0.1< 0.1
North Korea3,000< 0.1< 0.1
Kigezo:Country data Northern Mariana Islands Northern Mariana Islands< 1,0000.7< 0.1
Norway144,0003.0< 0.1163,180 in 2008[61]
Oman2,547,00087.70.2
Pakistan178,097,00096.411.0
Palau< 1,000< 0.1< 0.1
Palestine4,298,00097.50.33,500,00099.3% (Gaza Strip),[62] 75% (West Bank)[63]
Panama25,0000.7< 0.1
Papua New Guinea2,000< 0.1< 0.1
Paraguay1,000< 0.1< 0.1
Peru< 1,000< 0.1< 0.1
Philippines4,737,0005.10.310,300,000 (2012)[64]5% (2000) to 11% (2012)[64]
Kigezo:Country data Pitcairn Islands Pitcairn Islands< 1,000< 0.1< 0.1
Poland20,0000.1< 0.1
Portugal65,0000.6< 0.1
Template loop detected: Kigezo:Country data Puerto Rico Puerto Rico1,000< 0.1< 0.1
Qatar1,168,00077.50.1
Kigezo:Country data Republic of Congo Republic of Congo60,0001.6< 0.1
Kigezo:Country data Reunion Reunion35,0004.2< 0.1
Romania73,0000.3< 0.1
Russia16,379,00011.71.011.7%[65]
Rwanda188,0001.8< 0.1
St. Helena< 1,000< 0.1< 0.1
St. Kitts na Nevis< 1,0000.3< 0.1
St. Lucia< 1,0000.1< 0.1
Kigezo:Country data Saint Pierre and Miquelon St. Pierre and Miquelon< 1,0000.2< 0.1
St. Vincent na Grenadines2,0001.7< 0.1
Samoa< 1,000< 0.1< 0.1
San Marino< 1,000< 0.1< 0.1
São Tomé na Príncipe< 1,000< 0.1< 0.1
Saudi Arabia25,493,00097.11.6
Senegal12,333,00095.90.8
Serbia280,0003.7< 0.1
Shelisheli< 1,0001.1< 0.1
Sierra Leone4,171,00071.50.3
Singapore721,00014.9< 0.1
Slovakia4,0000.1< 0.1
Slovenia49,0002.4< 0.1
Solomon Islands< 1,000< 0.1< 0.1
Somalia9,231,00098.60.699.9%[66][67][68][69][70]
South Africa110,0001.5< 0.1
South Korea35,0000.2< 0.1
South Sudan
Spain1,021,0002.30.11,000,000[24]2.3%[24]
Sri Lanka1,725,0008.50.11,967,227 (official census)[71]9.71[71]
Sudan30,855,00071.4[72]1.997.0% (only the Republic of Sudan)[73]
Suriname84,00015.9< 0.119.6%[74]
Swaziland2,0000.2< 0.1
Sweden451,0004.9< 0.1450-500,000[75]~5%[75]
Switzerland433,0005.7< 0.1400,000[76]5%[76]
Syria20,895,00092.81.3
Taiwan23,0000.1< 0.160,000[77]0.3%[78]
Tajikistan7,006,00099.00.4
Tanzania13,450,00029.90.835%[79]
Thailand3,952,0005.80.2
Timor-Leste1,0000.1< 0.1
Togo827,00012.20.120%[80]
Kigezo:Country data Tokelau Tokelau< 1,000< 0.1< 0.1
Tonga< 1,000< 0.1< 0.1
Trinidad na Tobago78,0005.8< 0.1
Tunisia10,349,00099.80.6
Turkey74,660,00098.64.696.4[81] - 76%[82]
Turkmenistan4,830,00093.30.3
Kigezo:Country data Turks and Caicos Islands Turks and Caicos Islands< 1,000< 0.1< 0.1
Tuvalu< 1,0000.1< 0.1
Uganda3,700,00012.00.3
Ukraine393,0000.9< 0.12,000,000[83]
United Arab Emirates3,577,00076.00.2
United Kingdom2,869,0004.60.22,422,000[84]2.4%[24]
United States2,595,0000.80.26,000,000-7,000,000[85]
Kigezo:Country data United States Virgin Islands U.S. Virgin Islands< 1,0000.1< 0.1
Uruguay< 1,000< 0.1< 0.1
Uzbekistan26,833,00096.51.7
Vanuatu< 1,000< 0.1< 0.1
Vatikani000
Venezuela95,0000.3< 0.1
Vietnam63,1460.2< 0.171,200[86]
Kigezo:Country data Wallis and Futuna Wallis na Futuna< 1,000< 0.1< 0.1
Western Sahara528,00099.6< 0.1
Yemen24,023,00099.01.5
Zambia15,0000.4< 0.1
Zimbabwe50,0000.9< 0.1
Kusini na Kusinimashariki mwa Asia1,005,507,00024.862.1
Mashariki ya Kati-Afrika Magharibi321,869,00091.219.9
Afrika Kusini kwa Sahara242,544,00029.615.0
Ulaya44,138,0006.02.7
Amerika5,256,0000.60.3
Idadi ya Dunia Nzima1,619,314,00023.4100.0

Marejeo

Viungo vya nje